SHEMEJI SIO HUKO EP-4

SEHEMU YA NNE “Haloo.” “Haloo.” sauti ya upande wa pili ilisikika. Chumba namba sita hapa ninahitaji chipsi kuku mbili na juisi ya parachichi. “Sawa bosi.” Baada ya dakika chache mlango uligongwa, alikuwa ni yule mhudumu aliyemwagiza chakula. “Karibu” Bw. Abdul alimwamuru mhudumu kuingia ndani. Baada ya kuingia yule mhudumu aliweka sahani za chakula juu ya…

SEHEMU YA NNE

“Haloo.”

“Haloo.” sauti ya upande wa pili ilisikika.

Chumba namba sita hapa ninahitaji chipsi kuku mbili na juisi ya parachichi.

“Sawa bosi.”

Baada ya dakika chache mlango uligongwa, alikuwa ni yule mhudumu aliyemwagiza chakula.

“Karibu” Bw. Abdul alimwamuru mhudumu kuingia ndani.

Baada ya kuingia yule mhudumu aliweka sahani za chakula juu ya meza na kuwakaribisha.

“Kula basi mpenzi au nikulishe.”

Bw. Abdul alichukua kipande cha kuku na kumlisha Aisha huku mkono wake mwingine akigusa titi la Aisha.

Najua kuwa wewe unapenda sana chipsi kuku na ndiyo maana nami nikaagiza hivyo.

Waliendelea kula kwa muda kadhaa wote wakiwa kimya.Chakula kilianza kwisha taratibu ndani ya sahani,macho na mikono ya Bw. Abdul ilikuwa katika matiti ya Aisha. Taratibu Aisha alianza kulegea na kujitupa kitandani.

Bw. Abdul aliacha kula naye akajibwaga kitandani juu ya kifua cha Aisha. Matiti yaliyosimama kifuani kwa Aisha yalimchomachoma Bw. Abdul kiasi cha kuamsha mihemko ya mwili.

Bw. Abdul taratibu aliipandisha sketi iliyovaliwa na Aisha na kusababisha mapaja yake kubaki wazi. Udenda ulimtoka Bw. Abdul kwa kuona mapaja yaliyoumbika vizuri.

Bw.Abdul aliigeuza shingo ya Aisha na kuielekeza upande wake kisha kuikutanisha midomo yao kwa ajili ya kubadilishana mate.Bw. Abdul alisaula nguo alizovaa na kubakia na nguo ya ndani tu,kisha alimwinua Aisha na kumvua nguo zote.

“Mpenzi nivue na mimi basi.”

Mikono ya Aisha taratibu ilielekea kiunoni mwa Bw. Abdul kisha taratibu aliishusha boksa. Polepole Bw. Abdul alimbeba Aisha na kumtupia kitandani kisha naye alifuata. Kilichoendelea hapo hakuna aliyeshuhudia zaidi yakusikia miguno ya kimahaba ikitoka mdomoni mwa Aisha,

“Shemeji acha…! Shemeji taratibu…!Basi shemeji…! Wajuzi wa mambo haya hudai kuwa miguno hiyo humfanya mwanamume kujihisi kuwa yeye ni kifaa kwelikweli.Hakika Aisha alimaliza miguno ya aina zote ilimradi tu kumteka shemejiye.Kwa upande wa staili nao hakika Aisha hukuwa nyuma ingawa hakuwahi kufundishwa unyagoni lakini alizibamba zile za kwenye vitabu visivyoruhusiwa kusomwa na watoto hivyo alijitahidi kuzikumbuka. Maana wenyewe wajuzi wa mambo haya hudai kuwa katikakona hii si vizuri kukaa kama gogo linalosubiri mpasuaji.

Dakika takriban 45 zilipita bila ya mechi kufikia kileleni. Hakika Bw. Abdul alijaliwa na Mungu katika sekta hiyo. Staili zilibadilishwa kila mara lakini haikuwa rahisi kufikia kileleni kwa muda mfupi.

Chezea Bw. Abdul wewe.Aisha alishindwa kuvumilia hivyo alijikuta akitoa sauti kubwa iliyosikika hadi nje Bw. Abdul alimtuliza kidogo kisha mechi ikaendelea kama kawaida.

Baada ya muda kadhaa kupita hatimaye mechi ilifika kileleni. Aisha alikuwa na uchovu hivyo hakutaka hata kumwangalia Bw. Abdul,alijigeuza upande wa pili na kuruhusu usingizi. Kwa upande wa Bw. Abdul naye hakutofautiana na Aisha, alichukua taulo na kujifuta jasho kisha alijilaza kupata usingizikidogo. Wote walilala kwa dakika kadhaa.Muda mfupi baadaye waliamka.

“Shemeji hakika Mungu amekujaalia mashine yako inasaga ile mbaya tangu nizaliwe sijawahi kukutana na muziki kama huo. Mmmm! Kumbe dada yangu kazi anayo.” Aisha alisema kwa utani huku akimwangalia shemejiye. Bw. Abdul aliona aibu alisita kidogo kisha akasema

“Hakuna kinachoshindikana mpenzi, mwanzo dada yako alipata tabu sana lakini taratibu akazoea,sasa hiviasipopata kwa siku chache tu hana raha na leo nilivyochokasijui itakuwaje. Akisikia kuwa unamchukulia mali yake kazi unayo.”

“Aende zake huko kama haupo wenzio wala,nami ntazoea taratibu ye amewezaje mpaka mi nishindwe. Waswahili wanasema hakuna cha peke yako hususan hapa mjini.

“Ukitaka kuhakikisha kama umeshaanza kuzoea turudie tena utagundua kuwa makelele uliyokuwa ukipiga mwanzo hayatakuwapo tena.”

“Hee!Shida ya kunigeuza kizazi, hapa nilipo miguu haina ushirikiano.”

“Nakutania tu dear.”

Bw. Abdul aliingiza mkono ndani ya suruali yake aliyoivaa na kutoa kitita cha laki mbili kisha akamkabidhi Aisha.

ITAENDELEA….

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Latest News

View All

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

You May Have Missed