
Aisha ambaye yeye alionekana akimwangalia kwa aibu.
Nasra kama ilivyo kawaida yake. Msichana asiyependa kujaza tumbo kisha kushindwa kuvaa bodisuti. Taratibu alivuta birika lililokuwa na maji ya kunawa. Akajimiminia maji,baada ya kuhakikisha kuwa mkono wake umetakata taratibu alinyanyuka na kuelekea chumbani kwake huku akimtakia mdogo wake usiku mwema. Bw. Abduli alionyesha tabasamu huku akimkonyeza Aisha. Dakika kadhaa zilipita kukiwa kimya Bw. Abduli alianza ule utani wake.
“Sa’ Aisha ndo vipi mbona hujanipa jibu langu au nd’o hunipendi?”
“ Hapana shemeji mi mbona nshakubali.”Aisha alijibu kwa kusitasita huku macho yake yakiangalia chini na kidole kimoja kikiwa mdomoni.
“Siamini kama uyasemayo ni ya kweli,mbona bado unaniita shemeji badala ya kusema namekubali mpenzi.” Bw. Abduli alisema kwa utani. “Basi nashukuru mpenzi kama umekubali ombi langu naminajiona kama mwenye bahati kumpata msichana mrembo kama wewe.” Bw Abduli alinyanyuka na kumbusu Aisha ili kuonesha kuwa wameshafungua ukurasa mpya wa mapenzi
Kule chumbani Nasra alitandika kitanda kisha akabadili nguo alizokuwa amevaa, alichukua taulo akalivaa kisha akajitupa kitandani, akimsubiri mumewe ili wakaoge. Dakika zalipotea bila Bw. Abduli kutokea. Nasra alijigaragaza kitandani hadi akapitiwa na usingizi. Baada ya dakika kama ishirini hivi Nasra alishtuka toka usingizini nakutupia machosaa iliyokuwa ukutani ambayo ilimtaarifu kuwa ni saa tano usiku lakini hakumwona mumewe.”
Hee! Kula huko kula gani wanakula mawe?” Nasra alijisemea huku akiwa amejawa na hasira. Mara mlango wa chumbani ulifunguliwa taratibu Bw. Abduli aliingia ndani na kuelekea mahali lilipokuwa taulo. Alibadili nguo alizokuwa amevaa na kujifunga taulo kiunoni. Kisha alielekea mahali alipokuwa mkewe na kumshika mikono kisha kumnyanyua taratibu kuelekea bafuni.
Ilikuwa ni siku ya Jumapili ya mwisho wa mwezi, vitu vyote vilikuwa vimeisha ndani.Hakukuwa na unga, mchele, nyanya, vitunguu wala mafuta ya kupikia.
Bw. Abdul alimshauri mkewe kuwa anahitaji kuongozana na Aisha ili wakanunue bidhaa. Nasra hakuwa na kipingamizi kwani hakuelewa lolote juu ya uhusiano wa kimapenzi kati ya Bw. Abdul na shemejiye. (Aisha).
“Aisha!” Sauti ilisikika masikioni mwa Aisha .
“Abee!” Aisha aliitika toka chumbani kwake alijua fika kuwa sauti ile ni ya dada’ke.
Alichukua kanga mbili moja aliipachika kifuani na nyingine kiunoni taratibu akielekea chumbani kwa dada’ke.
“Nenda kajiandae wende sokoni na shemejiyo.”
Baada ya dakika chache Aisha alikuwa tayari ameshajiandaa.Alitoka nje.Mbele yake alikuwa amesimama Bw. Abdul mkononi ameshika funguo za gari.
“Chukua funguo kanisubiri ndani ya gari.”
Wakati Aisha akipokea funguo zile Bw. Abdul alimbinya vidole huku akimkonyeza.
Dakika chache zilipita wakati Bw. Abdul akimuaga mkewe. Kisha alitoka nje na kuelekea mahali alipoegesha gari lake. Taratibu Bw. Abdul aliwasha gari na kuliondoa.
Njiani stori za utani na mapenzi zilitawala.
“Umependeza sana leo.” Bw. Abdul alisema huku akimgusa Aisha sehemu za mapaja.
“Acha utani shemeji.”
“Aaaa!Aisha mambo gani hayo ni lini utaanza kuniita mpenzi au mi sifai kuitwa mpenzi.” Bw. Abdul alitamka huku midomo yake ikichezacheza kwa uchu wa mapenzi .
“Mambo mazuri hayataki haraka nitazoea taratibu.” Aisha alitamka huku macho yake yakiwa yamebadilika rangi na kuwa mekundu.
Wote walishajawa na uchu wa mapenzi. Bw. Abdul aliendelea kumpapasa Aisha sehemu mbalimbali za mwili. Lakini sehemu aliyomvutia zaidi ni matiti,yaliyoumbika vizuri na kujaa kifuani mithili ya kifuu cha nazi. Mapaja yake pia yalikuwa ya namna ya pekee ambayo yangeweza kumvutia mwanamume yeyote ambayeni rijali, yalikuwa manene, meupe na mwororo yasiyokuwa hata na chembe ya doa.
Naye Aisha hakuwa mbumbumbu, akaupenyeza mkono wake hadi sehemu fulani mwilini mwa Abdul na kushika kile alichotaka kukishika. Akamtomasa kwa mapozi, kiganja chake laini kikizidi kumchanganya Abdul na kumwongezea mhemuko. Hakika Bw. Abdul alipagawa sana hadi kufikia hatua ya kutaka kuvunja amri ya sita ndani ya gari.
“Aisha uvumilivu umenishinda mpenzi, tufanye basi hata kidogo,” Abdul alisema kwa tabu, akizidi kumvuta Aisha na kumkumbatia.
Aisha hakuona kuwa ni ustaarabu kufanya mapenzi ndani ya gari hivyo alimshauri shemejiye kuwa wapange siku nyingine ya kufanya maangamizi kunako sita kwa sita.
Kwa kuwa muda ulikuwa umeenda sana hivyo wote walikubaliana kupanga siku nyingine ya kutimiza azma yao.
ITAENDELEA……..




